Pata taarifa kuu
GUINEA

Guinea yaadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya watu 157 katikati mwa maadhimisho ya uhuru

Nchini Guinea, kwa mara ya kwanza, kunafanyika maadhimisho ya kuwakumbuka watu 157 waliouawa katika uwanja wa Micheo wa Conakry mwaka 2009 na wanawake kubakwa baada ya kushambuliwa na wanajeshi wa aliyekuwa kiongozi wa kijeshi Captain Moussa Dadis Camara.

Le colonel Doumbouya akizungukwa na wajumbe wa CRND. Septemba 17, 2021.
Le colonel Doumbouya akizungukwa na wajumbe wa CRND. Septemba 17, 2021. AFP - JOHN WESSELS
Matangazo ya kibiashara

Lakini leo pia ni maadhilisho ya uhuru wa nchi hiyo iliyopata mwaka 1958 kutoka kwa wakoloni kutoka Ufaransa.

Mashirika ya kutetea haki za binadamu na mataifa ya bara Ulaya pamoja na Marekani yanataka haki ifanyike dhidi ya waliotekeleza mauaji ya raia mwaka 2009.

Haya yanafanyika wakati huu jeshi likiwa limechukuwa madaraka na kumzuia rais Alpha Conde.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.