Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mjadala wa wagombea wa urais Ufaransa, na kampeni bye bye Kabila kuanza DRC
Imechapishwa:
Cheza - 21:24
Makala hii imeangazia mdahalo wa wagombea wa kiti cha urais Ufaransa na barani Afrika kumefunguliwa mkutano wa nchi zinazozungumza lugha ya kifaransa: francophonie, na nchini DRC umoja wa ulaya kuiomba serikali ya Kinshasa kuandaa mazingira mazuri kufanikisha kufanyika kwa uchaguzi, lakini pia kampeini Bye bye Kabila, na huko Marekani maswali mengi kuanza kujitokeza kuhusu ushindi wa rais mteule wa Marekani Donald Trump