Pata taarifa kuu
NIGERIA-UCHUMI-UFISADI

Ufisadi wakithiri Nigeria

Shirika la serikali ya mafuta na gesi lilitoa Dola Bilioni 16 nukta 2 baada ya kuuza mafuta ghafi mwaka 2014.

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari akilihutubia Bunge la Nigeria mjini Abuja, Desemba 22, 2015.
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari akilihutubia Bunge la Nigeria mjini Abuja, Desemba 22, 2015. REUTERS
Matangazo ya kibiashara

Imeelezwa pia kuwa, Dola Milioni 235 nukta 7 zilizopatikana baada ya kuuza gesi hazikukabidhiwa kwa serikali lakini zikipelekwa katika akaunti ambazo hazikufahamika.

Hatua hiyo ilisababisha Gavana wa Benki Kuu wakati huo Lamido Sanusi kutanagza kuwa hakuna fedha zozote zilikuwa zimewasilsihwa katika Benki Kuu.

Rais Muhamadu Buhari amesema akiishtumu Shirika hilo kuwa fisadi na amewafuta kazi viongozi wa Bodi ya Shirika hilo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.