Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Siasa nchini Nigeria

Imechapishwa:

Nchini Nigeria, siasa zinaendelea kupambana moto kuelekea uchaguzi wa urais mwisho wa mwezi wa tatu.Uchaguzi huu uliahirishwa kutoka tarehe 14 mwezi wa Februari hadi tarehe 28 mwezi wa Machi kwa sababu za kiusalama.Rais Goodluck Jonathan alisema hakushirikishwa kuhusu kuahirishwa kwa zoezi hilo. 

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan (akinyoosha mkono juu) katika mkutano na wafuasi wake katika mji wa Gombe Jumatatu, Februari 2 mwaka2014.
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan (akinyoosha mkono juu) katika mkutano na wafuasi wake katika mji wa Gombe Jumatatu, Februari 2 mwaka2014. REUTERS/Afolabi Sotunde
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.