Habari RFI-Ki
Hatima ya wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram nchini Nigeria yazidi kuwa hatarini
Imechapishwa:
Cheza - 09:39
Katika makala haya hii leo , tunaangazia hatima ya wasichana zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram, baada ya serikali ya Nigeria kutupilia mbali ombi la kiongozi wa kundi hilo kutaka kuachiwa huru kwa wafungwa wake.Karibu