Jukwaa la Michezo
Teknolojia ya usaidizi wa video (VAR) imeleta tija katika fainali za Kombe la Dunia?
Imechapishwa:
Cheza - 22:24
Teknolojia ya usaidizi wa Video (VAR) imezalisha penati 14 kufikia sasa, katika fainali za kombe la dunia nchini Urusi. Je, imeleta tija katika mchezo wa kandanda? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi kuangazia teknolojia hii.