Jukwaa la Michezo
Timu za Afrika Mashariki na Kati zitafanikiwa kucheza fainali ya vijana wasiozidi miaka 20 mwakani ?
Imechapishwa:
Cheza - 23:19
Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo tunaangazia michuano ya soka kufuzu fainali ya vijana kwa wachezaji wasiozidi miaka 20, ziara ya klabu ya Barcelona nchini Afrika Kusini na mashindano ya riadha jijini London na Boston nchini Marekani.