Habari RFI-Ki
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
10:00
-
Ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali barani Afrika inatia hofu
Umoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.25/04/202409:51 -
Nchi za Afrika Mashariki kuongeza kodi ili kupata mapato zaidi ya serikali
Hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki kama vile Kenya, Uganda na Tanzania zikipendekeza mabadiliko ya sheria ili kuongeza kodi, kwa lengo la serikali kuongeza mapato24/04/202409:53 -
09:52
-
Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC
Umoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.23/04/202409:52 -
09:41
-
Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
27/03/202409:48 -
Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.
Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?26/03/202409:57 -
09:31
-
Hatua ya Gambia kuondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake na wasichana
Mamia ya raia wa Gambia wakiwemo wanawake wamefanya maandamano juma hili kuunga mkono sheria inayohalalisha ukeketaji wa wasichana na wanawake20/03/202410:08 -
10:19
-
09:31
-
Kila Ijumaa ni nafasi kuchangia mada ndani ya rfi Kiswahili
Kila Ijumaa una nafasi ya kuchangia mada yoyote ndani ya makala Habari Rafiki, kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo.15/03/202410:03 -
Kenya : Yasitisha mpango wa kutuma polisi Haiti
Kenya imetangaza kusitisha mpango wa kutuma polisi wake 1000 nchini Haiti baada ya kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Ariel Henry.13/03/202409:51 -
Dunia: Mwezi mtukufu wa Ramadhan waanza rasmi
Waumini wa dini ya Kiisilamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kipindi hiki mataifa mengi ya Afrika mashariki yakishuhudia mfumko wa bei za bidhaa.12/03/202409:55
Habari RFI-Ki
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.