Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.

Imechapishwa:

Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?

Maandamano ya leo ya amani yaliashiria wakati muhimu katika mzozo wa afya nchini Kenya, mnamo Ijumaa Machi 22, 2024.
Maandamano ya leo ya amani yaliashiria wakati muhimu katika mzozo wa afya nchini Kenya, mnamo Ijumaa Machi 22, 2024. © @Davji
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
  • 09:41
  • 09:48
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.