Waangalizi wa Umoja wa Ulaya walioshudia Uchaguzi Mkuu nchini Kenya mwaka 2017, wametoa ripoti yao ya mwisho na kueleza kuwa, wanasiasa walitumia fedha kuwahonga wapiga kura, kuitisha tume ya Uchaguzi na kutumia fedha za umma kufanya kampeni na hivyo, kuwanyima Wakenya haki yao ya msingi.
Vipindi vingine
-
Ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali barani Afrika inatia hofu
Umoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.25/04/202409:51 -
Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC
Umoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.23/04/202409:52 -
09:41
-
Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
27/03/202409:48 -
Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.
Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?26/03/202409:57