Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Asia

Wakimbizi wa Rohingya wazuiwa kuhama maeneo nchini Bangladesh

media Wakimbizi wa Rohinya Myanmar katika mpango wa kuwatawanya 16 September 2017 REUTERS/Mohammad Ponir Hossain

Bangladesh hapo jana imezuia kuhama kwa wakimbizi wa Rohingya, katika maeneo ambayo wamepangiwa na serikali hasa maeneo ya mpaka ambapo zaidi ya wakimbizi laki nne ambao wamekimbia vurugu nchini Myanmar wanaishi katika mazingira magumu.

Hatua hizo ngumu zimechukuliwa wakati huu Dhaka ikijitahidi kukabiliana na kiwango cha mgogoro usio wa kawaida huku Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina akijielekeza kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuomba msaada wa kimataifa.

 

Idadi ya wakimbizi wa Rohinya wanaokimbilia Bangladeshi  kutokana na mapigano nchini Myanmar imefika laki nne  (400,000).

 

Waziri mkuu huyo ameondoka siku moja baada ya serikali yake kumwita mjumbe wa Myanmar kwa mara ya tatu kupinga vitendo vinavyofanywa na nchi hiyo jirani yake.

 

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana