Pata taarifa kuu

Maafisa 15 wakijasusi wa Urusi watimuliwa Norway

Norway imetangaza Alhamisi, Aprili 13 kuwafukuza wafanyakazi 15 wa Ubalozi wa Urusi huko Oslo, ambao inawachukulia kama 'maafisa wa kijasusi'.

Oslo, mji mkuu wa Norway.
Oslo, mji mkuu wa Norway. © Wikipedia/Jørn Eriksson
Matangazo ya kibiashara

Katika taarifa yake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway ametangaza kufukuzwa kwa wafanyakazi 15 wa Ubalozi wa Urusi huko Oslo.

"Maafisa hawa 15 wa ujasusi wametangazwa kuwa hawafai kwa sababu wanafanya shughuli ambazo haziendani na hadhi yao ya kidiplomasia," Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Anniken Huitfeldt amesema katika taarifa.

Taarifa zaidi inakujia.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.