Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Tanzania yapata Waziri Mkuu mpya baada ya kufanyika uchaguzi

Imechapishwa:

Tanzania imepata Waziri Mkuu mpya baada ya Bunge kuridhia uteuzi wa Majaliwa Kassim Majaliwa mbunge wa Ruangwa mkoani Lindi uiofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli. Je Waziri Mkuu Majaliwa anakabiliwa na changamoto gani? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala haya ya Wimbi la Siasa.........

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli REUTERS/Sadi Said
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.