Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Utafiti wa Taasisi ya Twaweza nchini Tanzania waibua mazito kuhusu uelewa wa wapiga kura kabla ya uchaguzi

Imechapishwa:

Utafiti uliofanywa taasisi ya TWAWEZA nchini Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani umebaini kuwa wapiga kura zaidi ya nusu miongoni mwa waliohojiwa hawajui tarehe kupiga kura katika uchaguzi huo. Ungana na Victor Robert Wile katika makala haya kujua undani wa utafiti huo nani ameongoza katika kura za maoni kwa watu waliohojiwa...............

Bendera ya Tanzania
Bendera ya Tanzania RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.