Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa ahama CCM, achukua fomu za Urais CHADEMA

Imechapishwa:

Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa aliyekihama chama tawala cha CCM hivi karibuni na kujiunga na chama cha demokrasia na Maendeleo, CHADEMA Julai 30, 2015 amechukua fomu za kuomba ridhaa kugombea urais kupitia chama hicho.Makala ya Wimbi la Siasa inachambua kwa kina hatua hiyo iliyochakuliwa na Edward Lowassa, ungana na Victor Robert Wile katika makala haya.............. 

Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania
Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.