Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Uchaguzi wa wabunge nchini Burundi kufanyika katika mazingira magumu

Imechapishwa:

Uchaguzi wa wabunge na madiwani nchini Burundi wa Juni 29, 2015  unafanyika katika mazingira ambayo kisiasa wachambuzi wa siasa wanahoji kama uchaguzi huo utakuwa huru na wa haki. Fuatilia Makala haya ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile kujua undani wa kile kinachoendelea nchini Burundi....................

Wanajeshi wakiwa katika doria nchini Burundi
Wanajeshi wakiwa katika doria nchini Burundi AFP PHOTO / MARCO LONGARI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.