Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Siasa za Rwanda zaingia katika sura mpya Rais Kagame akitakiwa kugombea katika muhula wa tatu

Imechapishwa:

Vuguvugu la kisiasa nchini Rwanda limezidi kupanda baada ya chama tawala nchini humo kuunga mkono hatua ya kumtaka rais Kagame agombee muhula wa tatu baada ya katiba itakapokuwa imefanyiwa mabadiliko. Katika makala haya ya Wimbi la Siasa ungana na Victor Robert Wile ili kujua hali halisi ilivyo nchini Rwanda............. 

Rais wa Rwanda Paul Kagame
Rais wa Rwanda Paul Kagame REUTERS/Ruben Sprich
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.