Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Maandamano na siasa za Burundi kuelekea uchaguzi

Imechapishwa:

Hali ya kisiasa nchini Burundi bado ingali njia panda kwa waandamanaji kuendelea kupinga Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu. Nini mustakabali wa nchi ya Burundi wakati huu ikielekea katika uchaguzi? Ungana na Victor Robert Wile katika makala haya ya Wimbi la Siasa...................

Waandamanaji wanaopinga  wakiandamana mjini Bujumbura nchini Burundi kupinga Rais Nkurunziza kuwania muhula wa tatu
Waandamanaji wanaopinga wakiandamana mjini Bujumbura nchini Burundi kupinga Rais Nkurunziza kuwania muhula wa tatu REUTERS/Goran Tomasevic
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.