Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Marekani na Cuba zaweka makubaliano ili kurejesha uhusiano wa kidiplomasia

Imechapishwa:

Marekani na Cuba zimekubaliana kuanza mchakato wa kuimarisha upya ushirikiano wa kidiplomasia uliokuwa umedorora kwa kipindi cha miaka 50 iliyopita. UNGANA NA Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kuangalia hatua hiyo ambayo haikutarajiwa na wengi.......

Rais wa Marekani Barack Obama na Rais wa Cuba Raúl Castro
Rais wa Marekani Barack Obama na Rais wa Cuba Raúl Castro REUTERS/Kai Pfaffenbach/files
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.