Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Jeshi la Burkina Faso lakabidhi rasmi madaraka kwa raia

Imechapishwa:

Kiongozi wa kijeshi wa Bukina Faso Luteni Kanali Isaac Zida amekabidhi madaraka rasmi kwa rais wa serikali ya mpito Michel Kafando  mjini Ouagadougou.Hatua ya kukabidhi madaraka hayo kwa rais wa mpito inamaanisha kuwa kwa sasa Bukina Faso iko mikoni mwa utawala wa kiraia baada ya jeshi kuchukua madaraka kufuatia kujiuzulu kwa Rais Blaise Compaore mwezi uliopita. Je baada ya hatua hiyo serikali ya namna gani inahitajika nchini Burkina Faso? Fuatilia Makala ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile kupata undani wa kile kinachoendelea nchini Burkina Faso........

Rais wa mpito wa Burkina Faso, Michel Kafando wakati wa kuapishwa kwake mjini Ouagadougou, Novemba 18 mwaka 2014.
Rais wa mpito wa Burkina Faso, Michel Kafando wakati wa kuapishwa kwake mjini Ouagadougou, Novemba 18 mwaka 2014. AFP PHOTO / ROMARIC HIEN
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.