Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Burkina Faso na mwelekeo wa kuundwa kwa serikali ya mpito kabla ya kufnyika uchaguzi

Imechapishwa:

Nchi ya Burkina Faso inakabiliwa na changamoto mbalimbli za kiuongozi baada ya kuondoka madarakani kwa rais Blaise Compaore. Je ni changamoto zipi na mambo gani muhimu yanyofanyika na kujiri huko nchini Burkina Faso? Ungana na Victor Robert Wile katika mkala ya Wimbi la Siasa......

Kiongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso Isaac Zida akiwa harakati za kuhakikisha nchi inakuwa katika
Kiongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso Isaac Zida akiwa harakati za kuhakikisha nchi inakuwa katika REUTERS/Joe Penney
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.