Pata taarifa kuu
AFCON 2021-CAMEROON-SOKA

AFCON: Matumaini ya Zimbabwe kusonga mbele yadidimia

Zimbabwe haina matumaini ya kusonga mbele katika michuano ya mataifa ya Afrika baada ya kufungwa mechi zote mbili za kundi B.

Mechi kati ya  Sénégal na Zimbabwe
Mechi kati ya Sénégal na Zimbabwe AFP - PIUS UTOMI EKPEI
Matangazo ya kibiashara

Mechi ya kwanza, ilifugwa na Senegal 1-0, kupitia mkwaju wa penalti iliyofungwa na mshambuliaji Sadio Mane.

Mechi ya pili, ilishangazwa  na Malawi iliyoicharaza mabao 2-1 matokeo ambayo yanaiacha katika kundi hilo bila ya alama yoyote.

Kundi hili linaongozwa na Guinea ambayo ina alama nne sawa na Senegal, na Malawi ina alama tatu.

Matokeo ya kundi B

Senegal 1-0 Zimbabwe

Guinea 1-0 Malawi

Senegal 0-0 Guinea

Malawi 2-1 Zimbabwe.

Michuano ya mwisho-Januari 18 2022

Malawi vs Senegal

Zimbabwe vs Guinea.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.