Pata taarifa kuu
UINGEREZA

Kocha wa zamani wa Liverpool Rafael Benitez atua Chelsea

Klabu ya Chelsea imemteua kocha wa zamani wa Liverpoool Rafael Benitez kuiongoza timu hiyo hadi mwisho wa msimu huu. 

irishexaminer.com
Matangazo ya kibiashara

Uteuzi wa Benitez unakuja siku koja tu baada ya kufutwa kazi kwa Roberto Di Matteo kutokana na matokeo mabaya katika mchuano wa kuwania taji la klabu bingwa barani Ulaya baadaya kufungwa na Juventus mabao 3 kwa 0.

Benitez mwenye umri wa miaka 52 anakuwa kocha wa tisa wa the Blues chini ya uongozi wake Abramovich alipoanza kuogoza timu hiyo kuanzia mwaka 2003.

Duru zinasema kuwa mmiliki wa klabu hii Roman Abramovich huenda akamwajiri kocha wa zamani wa Barcelona Pep Guardiola msimu ujao.

Beniteza anatarjiwa kukutana na wachezaji wa chelsea hivi leo na kuanza mazoezi kabla ya kucheza na Manchester City mwishoni mwa juma
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.