Pata taarifa kuu
ZAMBIA

Nahodha wa Chipolopolo Herve aandaa kikosi chake tayari kwa mashambulizi dhidi ya Uganda

Herve Renald anaamini kwamba kikosi chake kiko katika hatua kabambe za kujiandaa kupambana katika fainali za mzunguko wa kufuzu kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2013 ambapo kikosi hiko kitaumana na Uganda katika dimba la Levy Mwanawasa.

Nahodha wa kikosi cha Chipolopolo cha Zambia,Herve Renald
Nahodha wa kikosi cha Chipolopolo cha Zambia,Herve Renald Reuters/Thomas Mukoya
Matangazo ya kibiashara

Aidha nahodha huyo amekiri kuwa kikosi cha Zambia kitaibuka na ushindi kwa kufuzu michuano hiyo ingawa watakabiliana na upinzani mklali kutoka kwa kikosi cha Uganda ambacho anaamini kiko vizuri na hivyo kujiweka sawa.

Alisema bila kujali hadhi ya mpinzani wake, na kuongeza kuwa wafalme wa soka wa Afrika watabaki makini na kufanya kazi kwa bidii ili kuiwezesha timu kuendelea kujitengenezea njia yao ya mafanikio.

Renald alizungumza hayo akiwa na waandishi wa habari huko Blantyre ambapo walipata mafanikio kimataifa hapo Ijumaa dhidi ya Malawi.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.