Pata taarifa kuu
Uingereza

Hatma ya Anelka kujulikana msimu wa usajili mdogo wa baridi

Mshambuliaji wa timu ya Chelsea Nicola Anelka raia wa Ufaransa huenda akaiahama klabu hiyo katika msimu wa usajili wa majira ya baridi. Kocha wa Klabu ya Chelsea Andre Villas-Boas amesema hatomzuia Anelka kuondoka iwapo ombi lolote la kumuhitaji kutoka klabu nyingine litajitokeza.

Planete
Matangazo ya kibiashara

Kocha huyo aliwaambia waandishi wa habari kwamba hawana nia ya kuuza wachezaji, lakini wapo tayari kumuuza Anelka. Mchezaji huyo tayari alionyesha nia yake ya kumaliza muhula wake katika klabu hiyo hadi Juni 2012. Ikiwa hato uzikana atasalia klabuni hapo hadi Juni 2012.

Anelka mwenye umri wa miaka 32 anaweza kuelekea sehemu nyingi, tayari Roberto Carlos anamtaka katika klabu ya Anzhi Makhachala nchini Urusi, hata hivyo klabu za Groznia na Marekani zinaweza kumchukuwa mchezaji huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa zinazo vutiwa na umahiri wa Anelka.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.