Pata taarifa kuu
London-Ungereza

Chelsea ya mtangaza Andre Villas-Boa kama Meneja mpya wa timu hiyo

Klabu ya Chelsea Imemtangaza kocha wa zamani wa Porto Andre Villas-Boas kuwa meneja wake mpya.

Andre Villas-Boas, meneja mpya wa Chelsea
Andre Villas-Boas, meneja mpya wa Chelsea Vladimir Maiorov
Matangazo ya kibiashara

Kocha huyo mwenye Umri wa miaka 33, sawa na mchezaji Didier drogba na Frank lampard amechukuwa jahazi la kuongoza Chelsea baada ya kjiuzulu kutoka timu ya Porto alioisaidia kushinda ligi za Ureno na ligi ya Europa msimu uliopita.

Porto Imesema kuridhia malipo ya pauni za Uingereza milioni £13.3m kiwango ambacho kipo kwenye mkataba wa Villas-Boas, kutoa nafasi kwa yeye kuondoka.

Rais wa Porto Jorge Pinto da Costa amesema hakushtushwa na kuondoka kwa Villas-Boas na kusema kuwa kocha huyo alipojielekeza huko London kwa ajili ya mapumziko mwezi mmoja uliopita, alizungumza na kocha Vitor Pereira na kukubali kuchukuwa nafasi hiyo, nikaridhia maamuzi ya kocha Adre Villas Boas.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.