Pata taarifa kuu
UAE

Waziri wa fedha wa Qatar akamatwa katika kesi ya ufisadi

Waziri wa Fedha wa Qatar Ali Sharif al Emadi amekamatwa kwa mashtaka ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka, kati ya mashtaka mengine, shirika rasmi la habari la QNA limesema Alhamisi hii, na kubaini kwamba uchunguzi umefunguliwa.

Ni nadra kuona afisa katika serikali akikamatwa kwa kashfa za ufisadi katika nchi ya Falme za Kiarabu.
Ni nadra kuona afisa katika serikali akikamatwa kwa kashfa za ufisadi katika nchi ya Falme za Kiarabu. REUTERS - SATISH KUMAR
Matangazo ya kibiashara

Ali Sharif al Emadi ni Waziri wa Fedha wa Falme za Kiarabu tangu 2013 na pia ni mwanachama wa bodi ya wakurugenzi ya mfuko wake wa utajiri, Mamlaka ya Uwekezaji ya Qatar (Qatar Investment Authority) , mwanahisa wa Accor na hasa mmiliki wa klabu ya Paris Saint-Germain.

Pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya banki kuu, Qatar National Bank, taasisi kuu kwa utoaji mikopo katika Mashariki ya Kati na Afrika.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.