Maktaba za Amerika za Jumatano 23 Januari 2013
Previous day: 22 Januari 2013 Next day: 24 Januari 2013-
Vikosi vya Ufaransa na vile vya Mali vinajiandaa kuelekea kaskazini zaidi mwa nchi hiyo
-
Viongozi wa dunia na wadau wa uchumi wanakutana mjini Davos, Uswis kujadili hali ya uchumi wa dunia
-
Watu 3 wajeruhiwa kwa risasi kwenye chuo kimoja mjini Texas, Marekani
-
Marekani yazishutumu nchi za Sudan na Sudan Kusini kwa kushindwa kukubaliana kuhusu mafuta