Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mjadala mkali Tanzania juu ya katiba mpya kwanza au mageuzi ya uchaguzi

Imechapishwa:

Mwishoni mwa wiki jana mjadala umeibuka kati ya wadau wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu nini kingekuwa cha kwanza kuwasilishwa bungeni, muswada wa marekebisho ya katiba au sheria za uchaguzi.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe katika mkutano wa siku ya wanawake Machi 8, 2023 huko Moshi
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe katika mkutano wa siku ya wanawake Machi 8, 2023 huko Moshi © @ikulumawasliano
Matangazo ya kibiashara

Ni mjadala ambao umewagawa hata wapinzani, ambapo chama kikuu cha upinzani Chadema chenyewe kinataka katiba mpya kwanza, huku vyama vingine vyenyewe vikisema sheria ya uchaguzi ianze.

Wachambuzi ni pamoja na Jawadu Mohammed kutoka Tanzania pia Dr. Nicodemus Minde akiwa nchini Kenya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.