Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Baraza la usalama la UN kuidhinisha Kenya kuongoza kikosi cha polisi cha kimataifa nchini Haiti

Imechapishwa:

Kenya ilijitolea kuongoza kikosi hicho ambacho kimepewa mamlaka ya kukabiliana kwa mtutu na makundi yenye silaha nchini humo ambayo kwa muda mrefu yametatiza usalama wa taifa taifa hilo la Karibia.

Wanachama wa kundi lenye silaha la "G9 na Familia" wakilinda barabara wakati wa maandamano dhidi ya Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry huko Port-au-Prince, Haiti, Jumanne, Septemba 19, 2023. (Picha ya AP/Odelyn Joseph)
Wanachama wa kundi lenye silaha la "G9 na Familia" wakilinda barabara wakati wa maandamano dhidi ya Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry huko Port-au-Prince, Haiti, Jumanne, Septemba 19, 2023. (Picha ya AP/Odelyn Joseph) AP - Odelyn Joseph
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.