Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

DRC: Viongozi wakutana Kinshasa kutathmini hali ya dharura Kivu Kaskazini na Ituri

Imechapishwa:

Viongozi kutoka kwenye majimbo mawili ya Ituri na Kivu Kaskazini wanazungumza na wale wa Serikali kuu, kuhusu ikiwa makataa ya hali ya dharura iliyotangazwa kwenye majimbo yao iondolewe au la, ingawa wanasiasa wengi kutoka kwenye maeneo hayo wanataka iondolewe.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi, akitoa hotuba wakati wa kongamano la kiuchumi mjini Kinshasa, Machi 4, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi, akitoa hotuba wakati wa kongamano la kiuchumi mjini Kinshasa, Machi 4, 2023. AFP - JACQUES WITT
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.