Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mapinduzi ya Niger tumbo joto kwa ECOWAS

Imechapishwa:

Nchini Niger viongozi wa mapinduzi wamekatakata kuonana na ujumbe wa ECOWAS kujadili mchakato wa kurejesha madarakani rais Mohamed Bazoum.

Представители военной хунты посещают митинг в поддержку госпереворота. Ниамей, Нигер. 6 августа 2023.
Представители военной хунты посещают митинг в поддержку госпереворота. Ниамей, Нигер. 6 августа 2023. REUTERS - STRINGER
Matangazo ya kibiashara

 

Hii ni licha ya ECOWAS kutishia kutumia nguvu kumrejesha madarakani rais Bazoum, wakati vikwazo wa viongozi wa mapinduzi vikiendelea kutolewa.

Katika makala haya Benson Wakoli na wachambuzi wa siasa za kimataifa Mali Ali akiwa katika visiwa vya Mayotte na Jawadu Mohamed akiwa nchini Tanzania, wanadadavua hali nchini Mali.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.