Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Maandamano ya upinzani nchini Kenya

Imechapishwa:

Upinzani nchini Kenya umeitisha maandamano ya siku tatu wiki hii kupinga kile wanachosema ni kupanda kwa gharama ya maisha, ukitaka serikali ya rais William Ruto kushugulikia suala hilo kwa dharura.

Upinzani nchini Kenya umesisitiza kuendelea na maandamano yake licha ya onyo la serikali
Upinzani nchini Kenya umesisitiza kuendelea na maandamano yake licha ya onyo la serikali REUTERS - THOMAS MUKOYA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.