Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Usalama nchini Uganda na ukanda baada ya mashambulio ya ADF

Imechapishwa:

Kundi la waasi la ADF Lenye asili nchini Uganda ila limekuwa likitikileza  mashambulio mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ,limewauwa watu 42 nchini Uganda baada ya kushambulia shule ya sekondari eneo la Kasese

ADF imeshambuliwa shule eneo la Kasese Uganda
ADF imeshambuliwa shule eneo la Kasese Uganda AP - Hajarah Nalwadda
Matangazo ya kibiashara

ADF linaonekana kuwa tishio baada ya ripoti ya umoja wa mataifa kuonesha ADF imekuwa ikifadhiliwa na kundi la Kijihadi la Islamic State tangu mwaka 2019. Kuna hofu mtandao wake ADF unaweza kusambaaa zaidi baada ya ripoti hiyo kusema Islamic State imekuwa ikiwatumia watu kutoka mataifa ya ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.