Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

SADC kutuma kikosi nchini DRC, Tshisekedi akosoa kikosi cha EAC

Imechapishwa:

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amelishtumu jeshi la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kutofanya vya kutosha kudhibiti utovu wa usalama Mashariki mwa nchi yake.Mataifa ya Kusini mwa Afrika SADC, wamesema watatuma kikosi chake Mashariki mwa DRC, huku Umoja wa Mataifa ukita juhudi zaidi kusaidia kupatikana kwa amani. Tunachambua kwa kina.

Vikosi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini DRC
Vikosi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini DRC © RFI/Florence Morice
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.