Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mchakato wa maridhiano kati ya serikali na upinzani nchini Kenya baada ya maandamano

Imechapishwa:

Rais William Ruto na kinara wa upinzani Raila Odinga watoa nafasi ya kuzungumza kumaliza mzozo wa kisiasa

Rainga odinga kiongozi wa Azimio la Umoja nchini kenya
Rainga odinga kiongozi wa Azimio la Umoja nchini kenya © Raila Odinga twitter
Matangazo ya kibiashara

Baada ya majuma kadhaa ya kupinga madai ya upinzani, hatimaye, serikali ilikubali kuketi kwenye meza ya majadiliano kupitia bunge kuyatafutia ufumbuzi masuala yaliyoibuliwa.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.