Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Nini hatima ya mvutano wa kisiasa nchini Kenya ?

Imechapishwa:

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ameitisha maandamano kulalamikia kupanda kwa gharama ya maisha na kuipinga serikali ya rais William Ruto kwa kile anachosema hakushinda uchaguzi wa urais wa mwaka uliopita. Nini suluhu ?

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya  Raila Odinga
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga REUTERS - MONICAH MWANGI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.