Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Tanzania: Tundu Lissu atangaza kurejea nyumbani

Imechapishwa:

Mwanasiasa wa Tanzania, Tundu Lissu, baada ya kuishi uhamishoni kwa karibu miaka saba, ametangaza kuwa anarejea nyumbani Januari 25 2023, kuendeleza harakati za kisiasa, baada ya rais Samia Suluhu Hassan, kutangaza kuondoa marufuku ya vyama vya siasa, kufanya mikutano ya kisiasa. 

Mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu
Mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu DR
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.