Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Matukio ya kisiasa tuliyoyapa uzito mwaka 2022

Imechapishwa:

Nchi mbalimbali, zikiongozwa na Ufaransa pamoja na Kenya, ziliandaa uchaguzi wake mwaka huu. Tulijadili matukio hayo kwa kina, na leo tunakukumbusha baadhi ya matukio hayo, japo kwa kifupi.

Wapiga kura walikishiriki kwenye uchaguzi mkuu nchini Kenya, Agosti 9 2022
Wapiga kura walikishiriki kwenye uchaguzi mkuu nchini Kenya, Agosti 9 2022 AP - Ben Curtis
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.