Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mazungumzo ya amani kuhusu Mashariki mwa DRC yanafanyika jijini Nairobi

Imechapishwa:

Makundi ya waasi, serikali ya DRC, mashirika ya kiraia na wadau wengine, wapo jijini Nairobi kwa ajili ya mazungumzo ya tatu ya amani, ili kuleta amani Mashariki mwa nchi hiyo. Je, suluhu itapatikana ?

Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, walipokutana Novemba 28 kwenye ufunguzi wa mazungumzo ya amani kuhusu DRC, Novemba 28 2022
Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, walipokutana Novemba 28 kwenye ufunguzi wa mazungumzo ya amani kuhusu DRC, Novemba 28 2022 © East African Community
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.