Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mjadala kuhusu kuondolewa kwa mipaka ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Karibu katika Makala yetu leo wimbi la siasa, kwenye usukani uko nami Ali Bilali ambapo tunajadili kuhusu maendeleo ya jumuiya ya Afrika Mashariki hususan kuhusu kauli ya hivi karibuni ya rais mpya wa Kenya William Ruto, ambae amemuomba Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwa kama mkongwe miongoni mwa Viongozi wa Afrika Mashariki kupambana ili kuhakikisha mipaka inayotenganisha Nchi inaondolewa na kuondoa vikwazo vingine vyote.

Rais wa  Kenya, William Ruto.
Rais wa Kenya, William Ruto. REUTERS - MONICAH MWANGI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.