Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Rais Macron anaweza kuwapatanisha, Kagame na Tshisekedi

Imechapishwa:

Pembezoni mwa mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York, rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alikutana na wenzake wa Rwanda, Paul Kagame na Felix Tshisekedi, kuona uwezekano wa wawili hao kufikia mkataba wa amani kuhusu utovu wa usalama, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, alipokutana na rais wa DRC Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame, walipokutana pembezoni mwa  mkutano wa 77 wa Umoja wa Mataifa, jijini New York.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, alipokutana na rais wa DRC Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame, walipokutana pembezoni mwa mkutano wa 77 wa Umoja wa Mataifa, jijini New York. © AP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.