Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Sudan: Jeshi latangaza kujiondoa kwenye mazungumzo ya kisiasa

Imechapishwa:

Uongozi wa kijeshi nchini Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametangaza kuwa, jeshi  linajiondoa kwenye mazungumzo ya kisiasa ili kutoa nafasi kwa viongozi wa kiraia kuunda serikali kufuatia mwendelezo wa maandamano. Je, jeshi linamaanisha katika uamuzi wake ? Tunachambua.

La réunion entre les Forces de la liberté et du changement et les militaires au pouvoir pourrait jeter le trouble dans le mouvement de contestation. Ici, des manifestants commémorent les trois ans du mouvement, à Khartoum le 3 juin 2022.
La réunion entre les Forces de la liberté et du changement et les militaires au pouvoir pourrait jeter le trouble dans le mouvement de contestation. Ici, des manifestants commémorent les trois ans du mouvement, à Khartoum le 3 juin 2022. © Marwan Ali / AP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.