Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mtoto wa rais Museveni aonesha nia ya kugombea uongozi wa Uganda

Imechapishwa:

Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa rais Yoweri Museveni, ameonesha nia ya kuwania uongozi wa nchi hiyo.

Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba wakati akipandishwa cheo mwaka 2017
Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba wakati akipandishwa cheo mwaka 2017 AFP - PETER BUSOMOKE
Matangazo ya kibiashara

Hii inakuja, kufuatia kauli zake anazozichapisha kwenye mtandao wake wake wa Twitter.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.