Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Wasiwasi wa kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu nchini DRC mwaka 2023

Imechapishwa:

Wiki hii tunaangazia maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2023 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Mashirika ya kiraia zaidi ya 60 za ndani na nje ya nchi hiyo, yanaonya kuwa, kuna dalilil za uchaguzi huo kucheleweshwa kama ilivyoshuhudiwa mwaka 2011 na 2018. Tunachambua na wanaharakati.

Makarani wakati wa uchaguzi mkuu uliopita 2018
Makarani wakati wa uchaguzi mkuu uliopita 2018 REUTERS/Baz Ratner
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.