Pata taarifa kuu
Siha Njema

Mlipuko wa ugonjwa wa Red Eyes nchini Kenya

Imechapishwa:

Wizara ya afya nchini Kenya imetoa tahadhari kuhusu mlipuko wa macho mekundu maeneo ya Mombasa ,Kilifi ,Kisii na Nairobi

  Zaidi ya watu 1000  wameripotiwa kuwa na  Ugonjwa wa red eyes nchini Kenya
Zaidi ya watu 1000 wameripotiwa kuwa na Ugonjwa wa red eyes nchini Kenya AP - Marcos Moreno
Matangazo ya kibiashara

Mamlaka za afya zinawataka raia kuzingatia usafi kwa mfano kunawa mikono kama mkakati wa kupambana na ugonjwa huo

Ugonjwa huo unasababisha maeneo yanayokinga macho kuvimba na macho kuwa mekundu

Vipindi vingine
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
  • 09:59
  • 10:23
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.