Pata taarifa kuu
Siha Njema

Kushamiri kwa kipindu pindu katika mataifa ya Afrika na juhudi kuikabili

Imechapishwa:

Mataifa ya Afrika yameendelea kuripoti uwepo wa  Kipindu Pindu nchi la Malawi ikiwa imeathirika zaidi.

Wagonjwa wakisubiri matibabu katika kituo cha afya Zambia
Wagonjwa wakisubiri matibabu katika kituo cha afya Zambia AFP - SALIM DAWOOD
Matangazo ya kibiashara

Barani Afrika ,mlipuko wa ugonjwa Kipindu Pindu umeendelea kuripotiwa .Taifa la Malawi ilibidi kufunga shule na kuomba msaada kutoka mataifa mengine kuikabili. Nchini DRC ,maambukizo mapya pia yamezifdi kupanda na wahudumu wa afya wako mbioni kutoa chanjo kwa raia katika maeneo yenye idadi kubwa ya maambukizo mapya.

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.