Pata taarifa kuu
Siha Njema

Uviko 19 ulivyoathiri mapambano dhidi ya Ukimwi DRC

Imechapishwa:

Uwekezaji kwenye mapambano dhidi ya Uviko 19 umefanya serikali kuweka pembeni mikakati ya kupigana na Ukimwi

Maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani mjini Goma
Maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani mjini Goma MONUSCO/Joseph Tabung Banah
Matangazo ya kibiashara

Katika maeneo kadhaa nchini DRC ,watalaam wameripoti ongezeko kubwa la maambukizo mapya ya virusi vya HIV na hata vifo tangu kuzuka kwa janga la Corona.

Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.