Pata taarifa kuu
Siha Njema

Magari ya Tuk Tuk yanavyotumika Mombasa Kenya kuwaokoa akina mama

Imechapishwa:

Idadi ya akina mama haswa waja wazito na watoto chini ya umri wa miaka mitatu wanaofariki ,bado iko juu barani Afrika.Hii ni kutokana na ukosefu wa huduma za afya au miundo mbinu ambazo wanawake wanaoweza kufikia kwa haraka.Jiji Mombasa ,Pwani ya Kenya wanaharakati wamekuja na mbinu ya Tuk Tuk ambazo zimekarabatiwa kuwa ambulensi kuwasaidia wanawake kufika hospitali kwa urahisi

Tuk Tuk ni usafiri unaotumika mijini haswa Mombasa
Tuk Tuk ni usafiri unaotumika mijini haswa Mombasa © Näytä tekijätiedot/wikimedia.org
Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.