Pata taarifa kuu
Siha Njema

Ugonjwa wa Monkey Pox unavyozidi kusambaa duniani

Imechapishwa:

Katika Makala tunazungumzia msambao wa hatari wa Monkey Pox ambao umefanya shirika la afya duniani kutangaza janga la hatari.Pia tunaangazia ugonjwa wa homa ya Mgunda ulioripotiwa kusini mwa nchi ya Tanzania.

Kituo cha kudhibiti magonjwa CDC kimeonesha baadhi ya vipele vya Monkey Pox.
Kituo cha kudhibiti magonjwa CDC kimeonesha baadhi ya vipele vya Monkey Pox. Via REUTERS - NHS ENGLAND HIGH CONSEQUENCE INF
Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.